Yanga kurejea mazoezini leo
Kikosi cha Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, kinatarajia kurejea mazoezini leo Jumatatu baada ya mapumziko ya zaidi ya siku tatu.
Uongozi wa Yanga uliamua kuwapumzisha wachezaji wake kwa muda wakati michuano ya Chalenji inaanza huko Kenya.
Awali ilielezwa kuwa mazoezi yangeanza Ijumaa, lakini baadaye ilibadilishwa na mazoezi kupelekwa hadi leo.
Baadhi ya wachezaji wako katika kikosi cha Tanzania Bara maarufu kama Kili Stars kinachoshiriki Chalenji.
Wengine pia wako katika kikosi cha Zanzibar Heroes pia kianshiriki michuano hiyo ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps