Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2017

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imewasainisha mikataba wakandarasi 14 kwa matengenezo ya barabara mbalimbali za mji

Bahi mkoani Dodoma

Bahi mkoani Dodoma Baadhi ya mabinti wilayani Bahi mkoani Dodoma wamedai kuwa, wanaume wanaopata fedha za TASAF wanawasumbua kimapenzi

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kibale

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kibale Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kibale Mkoani Kagera pamoja na mama yake washambuliwa na kuuawa kwa tuhuma kuwa ni wachawi

Wanaharakati wa haki za binadamu

Wanaharakati wa haki za binadamu Wanaharakati wa haki za binadamu wazisihi asasi za kiraia kuendelea kuishinikiza serikali kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari

Zanzibar

2 hours ago More Zanzibar Zanzibar kuanza kufanya mikutano yake kwa njia ya video ili kupunguza gharama za kusafiri kwenda maeneo mbalimbali

Ratiba ya michezo ya ligi kuu

Ratiba ya michezo ya ligi kuu Ratiba ya michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara leo April Mosi, 2017.

TAKUKUKURU mkoani Mara

TAKUKUKURU mkoani Mara TAKUKUKURU mkoani Mara yawafikisha mahakamani waganga 2 wilayani Butihama kwa kosa la kupokea rushwa kutoka kwa wagonjwa-

Shirika la Reli Tanzania (TRL)

Shirika la Reli Tanzania (TRL) Shirika la Reli Tanzania (TRL) limezindua treni mpya ya mabehewa 20 itakayofanya safari zake nchi za Afrika Mashariki

Watu watano wamefariki

1 hour ago More Watu watano wamefariki watu watano wamefariki dunia na nyumba 30 kubomoka kufuatia mvua kubwa ziliyonyesha  juzi usiku wilayani Mlele Katavi 0 replies 3 retweets 4 likes Reply     Retweet   3   Like   4

Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

2 hours ago More Mbunge wa Kibamba, John Mnyika Mbunge wa Kibamba, John Mnyika asema mgogoro wa CUF una mkono wa serikali ambapo unalengo la kuvigawa vyama vinavyounda UKAWA Source: Swahili Times ‏ Verified account  

Swahili Times‏

Swahili Times ‏ Verified account   17 minutes ago More Mkazi wa Jimbo la Karnataka nchini India akimnywesha maji nyoka aina ya Cobra aliyekuwa na kiu sababu ya ukame uliokumba eneo hilo.

CRDB Bank Plc‏

CRDB Bank Plc ‏   20 minutes ago More Usifungwe na kutofanikiwa malengo yako katika mwezi uliopita. Amini na ongeza juhudi katika kile unachofanya utafanikiwa katika mwezi huu.

MAGAZETI YA LEO 1 / 4 / 2017

MAGAZETI YA LEO 1 / 4 / 2017

Ufafanuzi Juu Ya “Uzushi” Ulioenea Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuhusu Kufukuzwa Nchini Raia Wa Kenya, Wilayani Longido, Mkoa Wa Arusha.

Ufafanuzi Juu Ya “Uzushi” Ulioenea Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuhusu Kufukuzwa Nchini Raia Wa Kenya, Wilayani Longido, Mkoa Wa Arusha. Kumekuwepo taarifa ambazo zimekuwa zikiripotiwa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya kijamii kuwa, Serikali ya Tanzania inafanya operesheni maalum inayolenga kuwaondoa Raia wa Kenya wanaoishi nchini bila kuwa na Vibali halali huko Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, huku wakimhusisha Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu katika utekelezaji wa ‘zoezi’ hilo.    Taarifa hizi zimezua tafrani na kutishia hali ya usalama iliyopo katika mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga.Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu Taarifa hizo zinazoendelea kuenezwa kuwa:-   1.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haijafanya operesheni yoyote inayolenga kuwakamata na kuwaondoa nchini raia wa Kenya au Taifa lolote lile wanaoishi katika Wilaya ya Longido Mkoani Arusha kama inavyoenez