Jinsi Wachawi Wanavyo Tumia Mafiga Mabichi Ya Mti Wa Mfausiku Kupika Uchawi Wa Kumvuta Kimapenzi Mtu Aliye Mbali.
Jinsi Wachawi Wanavyo Tumia Mafiga Mabichi Ya Mti Wa Mfausiku Kupika Uchawi Wa Kumvuta Kimapenzi Mtu Aliye Mbali. Na. DOKTA MUNGWA KABILI …0744 -000 473. Wachawi wanaweza kutumia uchawi kumvuta kimapenzi mtu aliye mbali. Moja kati ya vitu vinavyo tumika katika uchawi huu ni pamoja na mafiga mabichi ya mti wa mfausiku ambayo hukokwa kwenye majani makavu ya mgomba ambayo hutumika kama kuni au moto, kipande cha sanda alichovalishwa maiti, herufi za moto, mti wa hina, pamoja na vitu vingine lukuki. Kufahamu kuhusu uchawi wa aina hii na jinsi ya kujikinga nao, fuatilia sehemu ya nne ya kitabu “ KITANDA CHA SOKWE MTU” kama ifuatavyo : SEHEMU YA PILI YA KITABU “ KITANDA CHA SOKWE MTU “ Wachawi wakishindwa kukutengenezea kesi kubwa basi waatakufunga kwenye kifungo cha mapenzi. Katika vifungo vyote anavyo fungwa mwanadamu hakuna kifungo kibaya kama kifungo cha mape