Rais Magufuli Aomboleza Msiba Wa Mke Wa Naibu Waziri Kangi Lugola
Mhe. Rais John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Alphaxard Lugola aliyefiwa na Mkewe Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye alikuwa Afisa Mnadhimu Kikosi cha Polisi Reli Tanzania.
Alifariki dunia jana tarehe 01 Januari 2018 katika hospitali ya Rabinisia Memorial Tegeta Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Msiba upo Gerezani Railway Club Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.