VIDEOMPYA: King kapita amerudi na hii, ameifanya nchi tatu tofauti ‘Vizabina’

Mkali kutoka kwenye Bongoflevani King Kapita ambaye alishawahi kuzichukua headline na mdundo wake ‘Kuna Tatizo kwani‘, jana April 30 2017 alitualika kuitazama video ya mdundo wake mpya ‘ Vizabina‘ aliyoifanyia nchi ya Tanzania, Botswana na South Africa.