VIDEO: Asley na Khadija Kopa walivyoizindua ‘Usiitie Doa’ DAR…..
Ni Usiku wa kuamkia 1 May, 2017 ambapo msanii kutoka Yamoto Band, Asley na mwimbaji wa Taarabu, Khadija Kopa waliizindua single yao mpya iitwayo Usiitie Doa kwenye ukumbi wa Maisha Club, itazame hii video hapa.