EXCLUSIVE: Mashuhuda wasimulia tetemeko lilivyotokea Kagera usiku wa kuamkia leo
Habari nyingine kubwa kutokea Kagera usiku wa kuamkia April 30, 2017 ni kuhusu kutokea kwa tetemeko la ardhi katika baadhi ya maeneo ya mkoa huo ambapo Reporter wa AyoTV na millardayo.com alifanya kazi ya kuzungumza na baadhi ya mashuhuda ambao walikubali kutuelezea walichokiona mwanzo mwisho.
Video yote nimekuwekea hapa chini ruksa kuitazama…